Kama tunavyojua chipsi ni moja ya vyakula maarufu, vinavyopatikana fastafasta na vinavyopendelewa Zaidi katika nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania lakini habari mpya na m...
Rais William Ruto ametoa wito wa kushtakiwa kwa mchungaji Paul Mackenzie kuhusiana na vifo zaidi ya 40 vya wafuasi wake ambao aliwaagiza kufunga kula hadi kufa na miili y...
Rais William Ruto amesema wananchi wote nchini humo wanao wafanyakazi serikalini kuanzia sasa watakuwa wakichangia asilimia 3 ya mapato yao kwenye mfuko wa ujenzi wa nyumba za...
Amina Rashidi mwenye umri wa miaka 25, mkazi wa Kijiji cha Mwabuki wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu, amabe amedai kuwa mtoto wake mchanga amefariki dunia na kugeuka kuwa j...
Polisi kutoka nchini Kenya wamepata miili 21 ya waumini wa kanisa la Good News International Church linaloongozwa na mchungaji Paul Mackenzie, ambaye anashikiliwa na polisi kw...
Hahahhaha! Ama kweli ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni, ukisema ushawahi kuona kila kitu sasa mimi nakwambia kuna vitu bado haujavishuhudia kabisa katika hii dunia.
Bas...
Niaje mwanetu!! I hope uko byee na haka ka weekend kaliko changenyika na sikukuu basi mpaka raha lakini tupo kukujuza kila kitu hata ambacho ulikuwa unakisikia basi sisi tuna ...
Niajeee! Wanangu wa vyuoni, sikukuu inasemaje pande hizo, vipi mmeshapata maabaya au sio shida zenu, oky tuachane na hayo, kuna msemo unasema kuwa chuo hakuna strees nyie nyie...
Hello!! Mambo niaje my people, I hope mko poa kama kawaida hatunaga shaka inapofikia swala la kukupa nondoo za Afya ikiwa tuna siku moja tu kuikaribisha sikukuu ya eid h...
Hellow! I hope mko pouwa watu wangu wa nguvu, tualikane basi hayo mabiriani sio mle wenyewe, au ndo mpaka tuongee kiarabu hahahah! (Jokes), kama kawaida katika kulizonge...
Mambo niajeeee!!! Najua mko poa sana watu wangu wa nguvu leo sasa katika mambo yetu yale ya fashion tunaendelea kukujuza mambo kadha wa kadha yanayo usiana na urembo, kupendez...
Ndege ya kivita aina ya Su-34 ilirusha bomu la anga kwa bahati mbaya, baada ya kushambulia mji wa Belgorodi inasemekana haikuwa na lengo la kusababisha maafa hayo.
Tukio hilo ...
Ooooooooh! Waislamu wenyewe wanasema kuwa dini yao haimkatai mtu niwewe tuu kuichangua basi bwana Staa wa muziki whozu ameweka wazi swala la yeye kubadili dini na kuwa mu...
Ebanaee!! Ugomvi wa mwalimu na mwanafunzi hivi inakuaje, hii sasa huko North carolia nchini Marekani katika shuke ya Rocky Mount walizichapa mwalimu na mwanafunzi.
Basi bana t...