Idadi ya watu waliofariki kwa mafuriko yaliyosababishwa na kimbunga Freddy wapata 400, ambapo idadi hiyo inajumuisha vifo vilivyotokea tangu kimbunga hicho kilipoingia barani ...
Msanii wa muziki wa bongo fleva Anjella amefunguka na kusema kuwa toka achore tattoo ya jina la aliyekuwa boss wake Harmonize, bado hawajawasiliana kabisa licha ya staa h...
Mawaziri kutoka nchini Uingereza wamezuia kutimia mtandao wa TikTok katika vifaa vya ofisi. Uamuzi huo umetajwa kuwa ni kwa sababu za kiusalama.
Serikali nchini humo imekuwa i...
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa tahadhari juu ya uwepo wa ugonjwa ambao bado haujajulikana mkoani Kagera, katika Wilaya ya Bukoba Vijijini, ambapo watu 7 wanasadikika k...
Baada ya kusambaa kwa List ya ngoma kutoka kwenye albam mpya ya star kutoka nchini Nigeria Davido ikiwa inaonesha jina la Staa wa muziki kutoka Nchini Alikiba likiw...
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera ametangaza siku 14 za maombolezo baada ya kimbunga freddy kuuwa zaidi ya watu 225. pia ameagiza Bendera kupepea nusu mlingoti kwa si...
Mabondia wa Ngumi za kulipwa nchini wenye uhasimu mkubwa, Idd Pialali na Mfaume Mfaume jana Jumatano wamesaini mkataba wa pambano la marudiano linalotarajiwa kufanyika S...
Kwa mujibu wa wizara ya afya na Mratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma Jijini Dar es Salaam, Dkt. Mbarouk Seif Khaleif, ameeleza kuwa kila mwaka Watu 137,000 wanaugua Kifua Kik...
Mtoto wa rais wa Uganda Yoweri Museveni, Muhoozi Kainerugaba ambaye ni Jenerali wa Jeshi, kupitia ukurasa wake wa Twitter amethibitisha kugombea kiti cha Urais wa N...
Alooooh! Watu siku hizi wanapenda kuwa natural bwana, ni kuhusiana na mwanamitindo kutoka US Blac Chyna ambaye ameianza safari ya upasuaji kuondoa maumbile yote ya bandia kwen...
Zaidi ya watu 200 sasa wamethibitishwa kufariki nchini Malawi baada ya kimbunga Freddy kukumba eneo la kusini mwa Afrika kwa mara ya pili ndani ya mwezi mmoja.
Serikali imetan...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Uigereza aliefahamika kwa jina la Eleanor Williams aliyetoa madai ya udanganyifu kwamba alibakwa na wanaume wengi na kusafirishwa kiharamu na geng...
Marufuku hiyo imetolewa nchini Rwanda kuanzia Machi 14, 2023 baada ya Shirika la Kitaifa la Kudhibiti Ubora, Ushindani na Ulinzi wa Walaji (RICA) kusema nyama ambayo hai...
Benki Kuu nchini Nigeria (CBN) imetoa ruhusa ya utumiaji wa note za zamani na kueleza kuwa pesa hizo zitasalia kuwa pesa halali hadi mwisho wa mwaka kulingana na uamuzi ulioto...