Mtoto wa Kike wa Aliekuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, Bona Ouma Mugabe katika madai ya talaka ametaka kupatiwa hela ya matumizi ya watoto Milioni 6.3 kwa watoto...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imeruhusu mabasi ya mikoani yaanze safari saa tisa usiku ambapo imeagiza wamiliki wa mabasi wanaopenda kuanza safari muda huo wafik...
Mdhibiti mkuu wa taarifa binafsi na faragha nchini Marekani ameishutumu kampuni ya Meta inayomiliki mitandao ya Facebook na Instagram kutoweka udhibiti mzuri kwa ajili ya kuwa...
Rais wa Marekani Joe Biden amempongeza kiongozi mpya wa benki ya dunia Biden Ajay Banga siku ya jumatano kuwa ni kiongozi mwanamageuzi
Rais ambaye atajumuisha mabadiliko ya ha...
Muigizaji kutoka nchini Marekani Jamie Foxx ameripotiwa kwamba bado amelazwa Hospitali huko mjini Georgia. vyanzo vya karibu na Jamie vimesema kuwa kwasasa muigizaji huyo...
Ebanaeee!! haya mambo ya upasuaji kwadhumuni la kubadilisha muonekano itawatoa watu roho sasa, bhana muigizaji wa filamu kutoka bollywood nchini India Priyanka Chopra amefungu...
Shirika la habari la serikali nchini Rwanda limeripoti kwamba watu 109 wamefariki kutokana na maporomoko ya ardhi huko Mahgaribi na Kaskazini mwa Rwanda.
Maporomoko hayo ni ku...
Wakala wa kudhibiti Chakula na Dawa (Nafdac) nchini Nigeria imesema inachukua hatua za haraka kuchunguza aina maarufu ya tambi za Indomie baada ya madai ya kuwepo kwa 'su...
Kwa mujibu wa wakala wa ripoti za vyombo vya habari nchini Marekani Nielsen Rating, wameripoti kuwa show ya Rihanna Half Time Super Bowl ndiyo show iliyotazama zaidi kuliko Sh...
Nahodha wa timu ya Argentina Lionel Messi amesimamishwa kucheza katika klabu yake ya Paris St-Germain (PSG) kwa wiki mbili baada ya kusafiri katika nchi ya Saudia Arabia bila ...
Waziri wa kazi, Ajira na uhusiano wa viwanda Nchini Uganda, Charles Okello Engola ameuawa asubuhi hii kwa kupigwa risasi na Mlinzi wake.
Spika wa Bunge nchini humo Anitha Amon...
Kufatiwa sehemu za makazi ya kuwahifadhi wahamiaji katika jiji la Texas nchini Marekani imeeleza kuwa imezidiwa uwezo kutokana na wimbi kubwa la wahamiaji nchini humo.
Wahamia...
Baadhi ya wahanga wa dhehebu tata linaloendesha shughuli zake katika msitu wa Shakahola katika Kaunti ya Kilifi nchini Kenya, waliuawa kwa kunyongwa, yameonyesha matokeo ya vi...