Mastaa wavutiwa na mtandao wa Threads

Mastaa wavutiwa na mtandao wa Threads

Mkurugenzi Mtendaji wa Meta, Mark Zuckerberg, siku ya jana amezindua Mtandao mpya ambao unashindana na Twitter ulioshika kasi kwa matumizi hivi sasa duniani kote.

Mtandao huo wenye watumiaji zaidi ya Milioni Hamsini mpaka sasa waliojiunga kwenye App katika siku ya kwanza tangu uzinduzi wake, umezua taswira ya kipekee kwa watumia mbalimbali.



Hapa nimekukusanyia baadhi ya post za kwanza za baadhi ya mastaa na watu mashuhuri Bongo land na nje kwenye App ya Threads uone namna kila mmoja alivyo upokea kwa shangwe na bashasha, wenyewe wanakwambia Threads kumenoga.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags