Nigeria wazuia mashindano ya kubusiana

Nigeria wazuia mashindano ya kubusiana

Baada ya kundi linalotambulika kama Sugartee kutoa tangazo likisema kwamba mnamo Julai 7 wataanza mbio ndefu (mashindano) ya kubusiana duniani katika uwanja maarufu wa burudani katika mji mkuu nchini Nigeria katika jimbo la Ekiti.

Serikali imetangaza kupiga marufuku shindano hilo siku tatu za kubusiana zilizopangwa kuweka Rekodi ya Dunia ya Guinness katika jimbo hilo.

Aidha wizara ya sanaa na utamaduni ya Jimbo hilo katika taarifa yake iliyotolewa Julai 5, imepiga marufuku kufanyika kwa mashindano hayo ya marathon na kuwaonya wafanyabiashara wote wa Hoteli katika jimbo hilo.

Kuwa kutoruhusu majengo hayo kutumika kwa mazoezi serikali hiyo ilionya kwa vikwazo vikali vitawekwa kwa hoteli yoyote itakayopatikana kuruhusu zoezi kama hilo katika kituo chao.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags