26
Mbinu za kuandaa rasta kabla hujazisuka
Hellow!! Its another day, kama kawa kama dawa kwenye kipengele chetu pendwa kabisa cha masuala ya fashion hapa ndiyo sehemu ya pekee ya kujidai kwa wote wanaopenda urembo...
27
TWALHAT KIONE: Mhitimu alieamua kuwa mtengenezaji wa picha mbao na graphics designing
Hellow! Nyie nyie mwezi huu si wawanawake bwana nimeamua kuwasogezea mabinti ambao wanajituma wanachakarika kiufupi tunaweza waita...
25
Jinsi ya kukabiliana na misiba mahali pa kazi
Habari karibu sana mdau wa magazine ya mwananchi scoop kama kawaida yetu lazima tupeane maarifa mbalimbali kuhusiana na masuala ya kazi,ujuzi na maarifa. Kwenye sekta hii bwan...
25
Je wajua kwanini Messi anaitwa ‘la pulga’
Alooooweeee! Alootenaaa! Ila tuache masihara bwana watu wangu wa segment ya burudani nimewamisi mnoo, haya leo bwana tumeshuka na mada ambayo baadhi ya watu watakuwa wanajua l...
24
Achapwa viboko hadharani kwa kufumaniwa na mke wa mtu
Mwanaume mmoja aliyefahamiaka kwa jina la Katayo Bote, Mkazi wa Kijiji cha Kibwera, mkoani Geita, amechapwa viboko hadharani pamoja na kulipishwa faini ya shilingi laki mbili ...
24
Watakaokula hadharani wakati wa mfungo wataadhibiwa
Polisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano, kaskazini mwa Nigeria wametumwa misikitini ili kuhakikisha usalama wa maisha na mali katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Kufuatia taari...
24
Adidas yavunja mkataba na Beyonce
Kampuni maarufu ya kutengezea nguo, viatu na vifaa mbalimbali ya Adidas imevunja mkataba wake na mwanamuziki mashuhuri kutoka nchini Marekani Beyonce, kutokana na mauzo ya bid...
24
193 wawekwa karantini ugonjwa wa Marburg
Kufuatia ugonjwa hatari wa Marburg kutoka mkoani Kagera watu 193 wawekwa karantini kwaajili ya uchunguzi zaidi, Miongoni mwa watu hao ni watumishi wa afya 89 na weng...
23
WHO yataja nchi zilizoathirika na kipindupindu
Shirika la Afya duniani (WHO) limetaja nchi ambazo zimeathirika na ugonjwa wa kipindupindu, ambapo shirika hilo limesema kuwa ugonjwa huo umeenea duniani kote, haswa barani Af...
23
Wafanyakazi waongezewa mshahara kwa 100%
Serikali kutoka nchini Zimbabwe imetaka wafanyakazi wote wa umma kuongezewa mshahara kwa 100%, aidha imebainisha kuwa lengo la ongezeko hilo ni kurahisisha maisha kwa Wananchi...
23
Stumai Muki amtwanga chimwemwe Banda
Hehehehe! Nyie nyie  nani kasema wanawake hawawezi, basi bwana bondia mwanamke kutoka nchini Tanzania Stumai Muki ameshinda  katika pambano la ngumi, dhidi ya Chimwe...
22
TCRA yaonya vyombo vya habari kurusha maudhui kuhusu dini
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imeonya vikali vyombo vya utangazaji nchini humo zikiwemo Radio na Televisheni kuacha kurusha maudhui ya kufikirika hasa yanayogusa iman...
22
Mbappe nahodha mpya Ufaransa
Mshambuliaji wa klabu ya Paris St-Germain (PSG) Kylian Mbappe ameteuliwa kuwa nahodha mpya wa timu ya taifa ya Ufaransa ambapo mshambuliaji huyo anamrithi mlinda mlango wa Tot...
21
Watatu hatiani kwa mauaji ya rapper XXXTentacion
Mahakama kutoka nchini Marekani imewakuta na hatia ya mauaji ya daraja la kwanza na wizi wa kutumia silaha Dedrick Williams mwenye umri wa miaka (26), Trayvon Newsom (24) na M...

Latest Post