Rasmi Platform asaini mkataba na Abbah

Rasmi Platform asaini mkataba na Abbah

Oooooh! Yaani bongo kumechachuka hatari, ni back to back, mtayarishaji wa muziki wa #BongoFleva Abbah rasmi amemsaini mkali wa muziki, Platform kwenye ‘lebo’ yake ya muziki ya ‘Abbah Music’ kwa mkataba wa miaka miwili.

Huku wakitambulisha “EP” inayotarajiwa kutoka hivi karibuni iliyopewa jina la ‘Above And Beyond’ ambapo humo ndani wameshirikishwa wasanii kama #Marioo, #Jux, #Darassa, #TommyFlavour  na #MauaSama.

Wale vipenzi wa mwamba #Platform kwa upande wenu mnaona kaula, kusaini mkataba huo au kayakanyaga? dondosha ‘komenti’ yako hapo chini






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags