Baadhi ya wanamuziki wa Bongo Fleva nchini wametajwa kuongoza orodha ya wasanii wanaotazamwa zaidi kupitia mtandao wa Youtube nchini Kenya.Kupitia blogu ya ‘Nairobi Goss...
Baada ya mwanamuziki Marioo kutua nchini Kenya na kupokelewa kwa shangwe, ameingia studio na msanii Bien.Kupitia ukurasa wa Instagram wa Marioo amechapisha picha akiwa na msan...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Marioo amefunguka ishu ya kufunga ndoa na mzazi mwenzie Paula Kajala, kwa kuweka wazi kuwafanya hivyo hivi karibuni kwani Paula amekubali kubadili d...
Ikiwa jana Septemba 3, 2024 dirisha la kuwapigia kura wasanii watakaowania Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) lilifunguliwa, hivi ndivyo vipengele 17 vinavyoshindaniwa ambavyo vime...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Marioo amemtambulisha Stans Ooh kama msanii wa kwanza kwenye lebo yake ya 'Bad Nation'.Msanii huyo ametambulishwa mapema leo Agusti 29, ikiw...
Baada ya sakata lake na Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) kukamilika mwanamuziki Mario amewauliza swali mashabiki kama waurekebishe wimbo wa ‘Iphone Users’ au atoe...
Baada ya remix ya wimbo wa ‘Yule’ kutoka kwa mkongwe wa muziki Bongo AY na Marioo kupokelewa vizuri, na sasa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa, Michezo Mwana FA ame...
Mpenzi wa msanii wa Bongo Fleva, Marioo, Paula Kajala ameweka wazi kuwa mjamzito si kitu, bali hisia bora ni pale unapokabidhiwa mtoto wako na Nesi.Kupitia ukurasa wake wa Ins...
Kutokana na mgogoro unaoendelea kwenye mtandao wa Instagram kati ya wanamuziki Elias Barnabas, ‘Barnaba’ na Omary Ally,‘Marioo’, kuhusu Tuzo za Muziki ...
Baada ya kuthibitisha kutarajia kupata mtoto, hatimaye mwanamuziki Marioo na mpenzi wake Paula Kajala wamepata mtoto wa kike waliyompa jina la Amarah.Kupitia ukurasa wa Instag...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Marioo amejipa maua yake kwa kudai kuwa yeye ndiyo msanii anayekimbiza zaidi katika bongofleva kwa kuwa na ngoma kali.Marioo ameyaeleza hayo...
Baada ya jinsia ya mtoto wa Marioo na Paula kutambulika mwanamuziki wa Bongo Fleva Billnass amemkaribisha marioo kwenye chama cha wazazi.
Kupitia ukurasa wake wa Instagr...
Baada ya kuripotiwa kuwa na bifu miezi kadhaa iliyopita, hatimaye Chino, Marioo wameonekana pamoja na kumaliza tofauti zao.
Wawili hao walionekana pamoja wakitumbuiza nyimbo a...