Mwanamuziki anayetamba na ngoma ya ‘My Time’ Darassa amempa Marioo maua yake kufuatia na album yake iitwayo ‘The God Son’ inayotarajiwa kuachiwa leo No...
Oooooh! Yaani bongo kumechachuka hatari, ni back to back, mtayarishaji wa muziki wa #BongoFleva Abbah rasmi amemsaini mkali wa muziki, Platform kwenye ‘lebo&rs...
Msanii wa Hip hop Darassa amemtambulisha rasmi msanii wake wa kwanza kutoka katika label yake ya Cmg lookatusnow anayeitwa Sani boy.
Hata hivyo Sani boy ambaye tayari ameachia...
Niaje mwanangu mwenyewe wa MwananchiScoop, hope huko poua kabisa na unaendelea vema na majukumu yako ya kila siku.
Leo kwenye Throw Back Thursday (TBT) tupo na mnyamwezi ambae...