Mchungaji ampa mjane sadaka zote

Mchungaji ampa mjane sadaka zote

Mchungaji kutoka Nigeria na mwanzilishi wa #ShekinahArenaGospel Ministry International, #Agochukwu, amempa mwanamke mjane sadaka zote za waumini kama zawadi.

Mtumishi huyo amegusa nyoyo za wanamtandao baada ya kutoa sadaka zote zilizokusanywa katika kanisa hilo na kumkabidhi mjane huyo.

Aidha Mama huyo ambaye alikuwa amefiwa na mume wake hivi majuzi alitembea kwa miguu na watoto wake wachanga hadi #kanisani.

Mjane huyo ilimlazimu kwenda kanisani na watoto wake kwa miguu hakuweza kupata pesa za kutosha za nauli ya kwenda kanisani hapo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags