18
Daladala lagonga treni na kuuwa mtu mmoja
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuwa leo Mei 18, 2023 majira ya asubuhi imetokea ajali katika makutano ya reli na barabara eneo la Kamata iliyohusisha Gari la a...
18
Madaktari waanza mgomo, Nigeria
Chama cha madaktari kutoka nchini nigeria (nard) imeanza mgomo unaohusisha madaktari wa hospitali za serikali kutokana na mamlaka kutotimiza mahitaji yao ikiwemo maboresho ya ...
17
Watu wanne wauwawa, Nigeria
Watu wenye silaha kali nchini Nigeria wameshambulia msafara wa  magari ya Marekani siku ya jana jumanne katika jimbo la kusini mashariki mwa nchi hiyo eneo la Anambra. Po...
17
Canada yakanusha kutoa fursa ya ajira kwa Wakenya
Serikali ya Canada imekanusha ripoti kuwa Wakenya sasa wanaweza kusafiri hadi nchini humo kutafuta nafasi za kazi. Haya yanajiri kufuatia tangazo la Waziri wa Mambo ya Nje wa ...
17
Idadi ya watu waliouwawa kwa kunyongwa yafikia 883,Duniani
Shirika la Kimataifa la Kutetea haki za binaadamu la Amnesty International limesema katika ripoti yake kuwa idadi ya watu waliouawa kwa kunyongwa ulimwenguni kote mwaka uliopi...
17
Marufuku wenza wenye watoto kuachana
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Queen Sendiga katika uzinduzi wa zahanati katika kijiji cha Mpona mkoani humo amesema kuwa wenza (wapenzi) wote wenye watoto hawatakiwi kuachana  ba...
17
Zaidi ya wanawake 60 watumiwa kondomu zilizotumika kwenye bahasha
Polisi kutoka nchini Australia wanachunguza kisa kimoja baada ya wanawake wasiopungua 65 kupokea kondomu zilizotumika kwenye bahasha. Barua hizo, ambazo pia zilikuwa na jumbe ...
16
Membe azikwa leo, Lindi
Mwili wa Marehemu Bernard Membe tayari umezikwa katika eneo la makaburi ya familia Rondo katika kijiji cha Chiponda mkoani Lindi leo Mei 17, 2023. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa...
16
Marumo wagoma kufanya mazoezi
Ikiwa ni siku moja tuu imebaki ili timu hiyo iweze kuingia ndimbani kwa ajili ya mchezo wao na mabingwa mara 29 yanga Afrika, wachezaji wa Marumo Gallants ya Afrika Kusini wam...
16
Watano wanyongwa kwa ulanguzi wa dawa za kulevya
Serekali nchini Iran imetoa hukumu ya kunyongwa kwa watu watano siku ya jana jumatatu kwa kufanya ulanguzi wa  dawa za kulevya kwa kutumia silaha kusini mwa nchi hiyo. Wa...
16
Yesu wa Tongaren yupo huru sasa
Eliud Wekesa maarufu kama Yesu wa Tongaren ameachiwa huru na mahakama baada ya upande wa mashtaka kusema hawana ushahidi wa kuendelea kumshikiria dhidi yake. Tongareni ambae ...
16
Hajia4Real ashatakiwa kwa mapenzi ya ulaghai
Staa wa muziki kutoka  nchini Ghana Faiz Montrage, maarufu kama Hajia4Real, amerudishwa Marekani na kushtakiwa kwa kashfa ya mapenzi ya ulaghai wa dola milioni mbili. Haj...
16
Hilda avunja rekodi ya dunia kwa kupika masaa 100
Mwanadada hilda kutoka nchini Nigeria amevunja record ya dunia ya Guinness kwakupika masaa 100, mrembo huyo ameivunja record ya masaa 87 na dk 45 iliyokua inashikiliwa na mwan...
16
Ghannouchi ahukumiwa jela kwa kosa la ugaidi
 Aliekuwa spika wa bunge wa zamani Rachel Ghannouchi na mmoja wa wapinzani wakuu wa Rais Kais Saied mwenye umri wa miaka 81 amehukumiwa na mahakama moja nchini Tunisia si...

Latest Post