Campbell: Haujachelewa kuwa mama

Campbell: Haujachelewa kuwa mama

Mwanamitindo nchini Uingereza Naomi Campbell amepata mtoto wa pili akiwa na umri wa miaka 53, mrembo huyo ametoa taarifa kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika kuwa.

“Kipenzi changu, jua kwamba unathaminiwa kupita kiasi na umezungukwa na upendo tangu tukupate zawadi ya kweli kutoka kwa Mungu, barikiwa! Karibu Babyboy” alisema mwanamitindo huyo.

Naomi hakuishia hapo aliendelea kwa kuwatia moyo wanawake wote ambao wamekata tamaa kupata watoto kutokana na sababu mbalimbali. Naomi ameandika “Haujachelewa kuwa mama”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags