Otile apoteza mtoto

Otile apoteza mtoto

Wiki iliyopita kulikuwa na taarifa kuwa msanii kutoka nchini Kenya Otile Brown anategemea kuwa baba kwa mara ya kwanza, ambapo aliweka wazi kupitia Instastori yake.

Basi bwana mambo yameenda kombo baada ya mwanamuziki huyo kurudi tena katika Instagram yake na kueleza kuwa amempoteza mtoto wake huyo.

“Mtoto wetu hakufanikiwa kuishi lakini yote ni sawa Mungu unajua kwamba kamwe sijakuuliza au kukuhoji, ninalofanya ni kutabasamu na kuendelea kuwa na mtazamo chanya”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags