Wafumaniwa wakifanya ngono kanisani

Wafumaniwa wakifanya ngono kanisani

Watu wawili ambao ni wapenzi wamekutwa wakifanya kitendo hicho eneo la Madhabau Nchini Uganda na kusababisha kikundi cha Waumini kadhaa kuapa kutoingia tena katika Kanisa hilo lililopo Wilaya ya Kayunga.

Tukio limewahusisha Kijana muumini wa Kikatoliki mwenye Miaka 23 ambaye ni Mume wa Mtu na Binti wa Dhehebu la Kiislamu ambaye alitalikiwa hivi karibuni, ambapo walifumaniwa na Mke wa Kijana huyo.

Wapenzi hao wamedaiwa kuingia ndani ya Kanisa kupitia Dirishani. Huku baadhi ya waumini wametaka Uongozi wa Kanisa kufanya ibada maalumu ya kulitakasa Kanisa ili kuondoa dhambi hiyo.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags