Boti iliobeba wahamiaji 200 yapotea majini

Boti iliobeba wahamiaji 200 yapotea majini


Waokoaji wa Uhispania wanaendelea na msako wa mashua hiyo karibu na Visiwa vya Canary ambapo inadaiwa haijulikani ilipo tangu ilipoanza safari zaidi ya Wiki moja iliyopita.

Walking Borders kundi la misaada linasema boti hiyo ya wavuvi ilisafiri kutoka Mji wa Kafouuntine Nchini Senegal.

 
Wakati huo huo, boti nyingine mbili zilizobeba Watu 65 na 60 nazo zinadaiwa kupoteza kwenye Maji, hivyo kufanya idadi ya ambao hawajulikani walipo ndani ya Wiki moja kuwa zaidi ya Watu 325.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags