12
Madudu afunguka tamthilia ya ‘Nazi Bubu’ kuwania tuzo Senegal
Tamthilia ya Tanzania iitwayo ‘Nazi Bubu’ imechaguliwa kuwania tuzo za Dakar International Drama Festival zitazotolewa...
05
Akoni mbioni kupokonywa ardhi ya mji wake
Imeripotiwa kuwa ardhi ya mwanamuziki kutoka Marekani mwenye asili ya Senegal, Akon muda wowote kuanzia sasa inaweza kuchukuliwa na Serikali ya Senegal, endapo hatokamilisha m...
03
Sadio Mane akiwa na mkewe Aisha Tamba
Baada ya ‘timu’ yake ya Taifa ya #Senegal kuondolewa katika michuano ya #Afcon mchezaji kutoka ‘klabu’ ya #Alnassr Sadio Mane amerudi na sasa yupo mapu...
03
Jezi ya Yanga yapepea kwenye video ya AFCON
‘Jezi’ ya ‘klabu’ ya #Yanga imetumika kwenye video ya promo ya michuano ijayo ya mataifa ya Afrika #AFCON, inayotarajiwa kufanyika nchini Ivory Coast k...
10
Boti iliobeba wahamiaji 200 yapotea majini
Waokoaji wa Uhispania wanaendelea na msako wa mashua hiyo karibu na Visiwa vya Canary ambapo inadaiwa haijulikani ilipo tangu ilipoanza safari zaidi ya Wiki moja iliyopita. ...
06
Mwalimu akamatwa kwa kesi ya ubakaji wanafunzi
Mwalimu wa madrasa (chuo cha kislam) nchini Senegal anayeshukiwa kuwabaka wanafunzi wake 27 wa kike, amekamwatwa  siku ya jana Jumatatu baada ya kulikimbia jeshi la polis...
05
Senegal yazuia upatikanaji wa intaneti
Serikali nchini Senegal imezuia upatikanaji wa intaneti kwenye simu ili kusimamisha ueneaji wa taarifa zinazoweza kuleta machafuko zaidi. Hii ni baada ya wafuasi wa Ousmane So...

Latest Post