Miss Tanzania kuanza rasmi

Miss Tanzania kuanza rasmi

Shindano kubwa la urembo nchini, la Miss Tanzania limeanza rasmi kwa Warembo 20 wanaowakilisha maeneo mbalimbali kuingia kambini siku ya jana.

Maisha halisi ya Warembo hao katika Kambi ya Miss Tanzania mwaka huu 2023 yataonekana kupitia  kisimbuzi cha Startimes  kila siku kuanzia saa 3:00 usiku.

Huku marudio ya vipindi hivyo yatakuwa ni kila siku saa 7:00 mchana na Jumapili saa 10 jioni vitaoneshwa vipindi vya wiki nzima ambapo Watazamaji watapata nafasi ya kuwaona Warembo hao wakishiriki shughuli mbalimbali za ndani na nje ya kambi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags