Mama achoma moto nyumba baada ya mume kuoa mke mwengine

Mama achoma moto nyumba baada ya mume kuoa mke mwengine

Baada ya kugundua mumewe ameongeza mke wa 2 mwanamke mmoja nchini Kenya katika eneo la Kajiado amechoma moto nyumba yake akiwemo ndani, na kusababisha vifo vya watoto wake wawili, wenye umri wa miaka 2.

Aliwafungia watoto ndani ya nyumba na kuacha mtungi wa Gesi ya kupikia ukiwa umefunguliwa kwa muda kabla ya kuwasha moto.

Mama huyo aliyeungua kwa asilimia 50, aliokolewa na majirani na kukimbizwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kajiado kwajili ya kupatiwa matibabu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags