Mtoto wa miaka 14 apata ajira

Mtoto wa miaka 14 apata ajira

Ebwana!! Kila uchwao mambo yanazidi kuwa mengi muda nao ni mchache haya sasa wakati mtoto wako wa miaka 14 anajiandaa kwenda Shule basi kuna mvulana wa miaka hiyo nchini Marekani, Kairan Quazi yeye anajiandaa kuanza safari yake ya maisha ya kuajiriwa.

Katika kampuni ya kurusha Satelaiti kwenye anga ya mbali SpaceX inayomilikiwa na Elon Musk na kumfanya kuwa Mhandisi mdogo zaidi wa programu za anga za juu kuwahi kutokea.

Kairan alimaliza chuo Kikuu cha Santa Clara huko California ambapo aliingia kwenye rekodi ya chuo hicho kwa kuwa muhitimu mdogo zaidi ndani ya miaka 172 ya chuo hicho.

Haya mwanatu kipindi una miaka 14 ulikuwa unafanya nini dondosha comment yako tuone.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags