Aswekwa jela kwa udanganyifu wa cheti

Aswekwa jela kwa udanganyifu wa cheti

Kumekuwa na wimbi kubwa la watu kutumia vyeti visivyo vya kwao kwa kupata ajira au kuomba kitu Fulani ambacho kina uhitaji wa vyeti hali hii imetokea mkoani Bukoba.

Ambapo Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Mickdad Abdurashid Juma mkazi wa mkoa huo amekutwa na hatia baada ya kushtakiwa kwa kutoa taarifa za uongo ili kupata cheti cha kuzaliwa kwanjia ya rushwa.

Baada ya mahakama kuridhishwa na ushahidi, ilimhukumu mshtakiwa kulipa faini ya Tsh. 300,000 au kwenda jela kwa kipindi cha mwaka mmoja.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags