Al-Hilal yamuwinda Neymar

Al-Hilal yamuwinda Neymar

Baada ya kumkosa Messi klabu hiyo ya Saudi Arabia sasa inamuwinda mshambuliaji wa Paris Saint-Germain (PSG), Neymar aliyesajiliwa kikosini hapo Mwaka 2017 kwa Pauni Milioni 198 ambapo ni Zaidi ya Billion 590 za Kitanzania.

Neymar yuko mbioni kuondoka PSG baada ya kutokuwa na maelewano mazuri na klabu yake ambapo wababe hao wa Saudi Arabia wanahitaji kumsajili baada ya kumkosa Leonel Messi  ambaye ameweka wazi kuwa anaelekea Inter Miami ya Marekani

Mshambuliaji huyo ambaye mkataba wake unamalizika mwaka 2025 pia anahusishwa na kutakiwa na klabu za Manchester United,  Chelsea na Nwecastle United






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags