28
Mr Ibu azikwa, fahamu zaidi kuhusu maisha yake
Marehemu mwigizaji kutoka Nigeria John Okafor (62) maarufu Mr Ibu ambaye alifariki Machi 2, 2024 tayari amezikwa katika mji aliozaliwa wa #Amuri, Jimbo la #Enugu nchini humo.I...
22
Batshuayi atishiwa maisha kisa Galatasaray
Staa wa zamani wa Chelsea, Michy Batshuayi ameripotiwa kukumbana na ‘meseji’ za vitisho vya maisha baada ya uhamisho wa Galatasaray.‘Fowadi’ huyo mweny...
24
Osimhen Aitamani Chelsea
‘Straika’ wa Napoli na Nigeria Victor Osimhen, 25, amepanga kukataa ‘ofa’ za Paris St-Germain na Saudi Arabia ili ajiunge na Chelsea katika dirisha lij...
18
Palmer Awafunika Foden, Haaland EPL
Kiungo mshambuliaji wa Chelsea, Cole Palmer ameshinda tuzo ya kinda bora wa msimu katika Ligi Kuu ya England kwa msimu wa 2023/2024. Palmer (22) amewapiku Phil Foden, Erling H...
29
Thiago amalizana na Chelsea
Beki na nahodha wa klabu ya #Chelsea, #ThiagoSilva ambaye pia alikuwa nahodha wa timu ya Taifa ya Brazil amethibitisha kuondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu. Thiago aki...
26
Kiungo wa Chelsea akosa mechi kisa upasuaji
Kiungo wa klabu ya #Chelsea, #EnzoFernandez atakosa mechi zote zilizobakia za msimu huu baada ya kufanyiwa upasuaji wa nyama za paja ili awe ‘fiti’ kwa ajili ya ku...
13
Chelsea kuuza wachezaji ili kumsajili Osimhen
Imeripotiwa kuwa ‘klabu’ ya Chelsea ina mpango wa kupiga bei mastaa wake kadhaa ili kupata Euro 200 milioni ambazo itazitumia kwenye usajili wa ‘straika&rsqu...
11
Arsenal, Chelsea kuisaka saini ya Toney
‘Klabu’ ya #Arsenal na #Chelsea zimeripotiwa kuisaka saini ya mshambuliaji wa ‘klabu’ ya #Brentford na ‘timu’ ya Taifa ya #Uingereza, #Ivan...
25
Chelsea, Liverpool kuwania milion I 322
'Timu' ya #Chelsea na #Liverpool zitakutana leo kwenye fainali ya kombe la Carabao ambapo bingwa wa mchezo huo ataondoka na pauni 100’000 sawa na tsh 322 milioni kama za...
13
Bayern yashindwa kumnyakuwa kiungo wa Chelsea
‘Klabu’ ya #BayernMunich inadaiwa kuwa imeshindwa kumchukua mchezaji wa ‘klabu’ ya #Chelsea #MykhailoMudryk baada ya ‘timu’ hiyo kukataa of...
04
Mastaa Chelsea wajiondoa kwenye mtandao wa X
Wachezaji wa ‘klabu’ ya #Chelsea,  #MoisesCaicedo na #EnzoFernandez wamefuta akaunti zao za  X (Twitter) baada ya kupokea jumbe nyingi zilizokuwa na kaul...
27
Mashabiki wa Chelsea wachukizwa na tangazo
Mashabiki wa ‘klabu’ ya Chelsea wachukizwa na kitendo cha ‘timu’ hiyo kuingia mkataba wa kuitangaza hoteli ya ‘Hilton Hotels’ baada ya kumt...
14
Beki wa Chelsea bado sana uwanjani
Beki wa ‘klabu’ ya #Chelsea, #ReeceJames ameendelea kupitia wakati mgumu kwani anatarajia kukaa nje ya uwanja hadi Februari mwakani baada ya kuumia tena. Beki huyo...
14
Mchezaji wa Chelsea, Humwambii kitu kwa Man United
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #Chelsea, #ColePalmer, amekiri kuwa yeye ni shabiki wa muda mrefu wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, licha ya kuwa anaichezea Chel...

Latest Post