Sudani yagoma kusitisha mapigano

Sudani yagoma kusitisha mapigano

Wajeshi nchini Sudan siku ya Jumatano wamevunja makubaliano na vikosi vya nchi hiyo vya RSF na kuongeza muda wa makubaliano ya usimamishaji mpya wa mapigano wakishutumu kukiuka mpango wa amani wa Saudi Arabia na Marekani.

Pande zote mbili za mgogoro wa wiki sita zilitia saini kusitisha mapigano kwa siku saba katika mji wa Saudi Arabia wa Jeddah, Mei 20 ikiwa na lengo la kuruhusu usambazwaji wa misaada ya kibinadamu.

Sambamba hayo na nchi ya Marekani na Saudi Arabia zinaangalia utekelezwaji wa usitishwaji wa mapigano, na kusema pande zote zimeyakiuka.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags