Kocha athibitisha Messi kuondoka PSG

Kocha athibitisha Messi kuondoka PSG

Kocha wa klabu ya PSG, Christophe Galtier amethibitisha kuwa nyota wake Lionel Messi ataondoka klabuni hapo mwisho wa msimu huu.

Akizungumzia hilo kocha huyo amesema anajivunia kumfundisha mchezaji huyo bora katika historia ya soka duniani.
"Jumamosi itakuwa mechi yake ya mwisho kwa Messi tutakapocheza dhidi ya Clermont," amesema Galtier

Messi anahusishwa asilimia kubwa kurudi klabu yake aliyotoka Barcelona baada ya kocha Xavi kuonyesha nia ya kumuhitaji msimu ujao. Dyh! haya mtu wetu wa nguvu embu tabiri mwamba huyu ataelekea katika timu gani, dondosha komenti yako hapo chini






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags