Mpenzi wa DC Young Fly amefariki kwa upasuaji

Mpenzi wa DC Young Fly amefariki kwa upasuaji

Baby mama wa msanii na mtangazaji maarufu duniani DC Young Fly, Jacky Oh mwenye umri wa miaka 32 amefariki dunia baada ya kufanyiwa upasuaji wa kurekebisha umbo lake (Surgery) baada ya kujifungua.

Jacky ambaye alipata umaarufu mkubwa kupitia kipindi cha tv cha ‘Wild ’N Out’ alikuwa akipata marekebisho ya upasuaji aina ya 'Mommy Makeover' huko mjini Miami, mpaka sasa haijatajwa hospitali na jina la daktari aliyehusika na kazi hio.

Surgery ya Mommy Makeover ni kurejesha mwonekano wa mwili wa mwanamke baada ya kuzaa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags