07
Kourtney Kardashian afanyiwa upasuaji wa haraka
Mwanamitindo kutoka nchini Marekani Kourtney Kardashian ameweka wazi kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa alifanyiwa upasuaji wa haraka kwa ajili ya kuokoa maisha ya mtoto w...
30
Aliyefanya upasuaji wa matiti, Midomo, na kubadili rangi awe muafrika
Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kumekuwa na matukio mengi ya kisayansi yafanyikayo ikiwemo baadhi ya watu mkubadiis...
29
Atumia zaidi ya Million 49 ili afanani na mbwa
Mwanaume mmoja kutoka nchini Japan alioyefahamika kwa jina la Toco ametumia zaidi dola 20,000 ambazo ni zaidi ya sh 49 milioni za kitanzania ili kuwa na muonekano wa mbwa.Alif...
27
Kylie Jenner ajutia kufanya Surgery
Mrembo na mfanyabiashara kutoka nchini Marekani @kyliejenner amekiri kuwa alifanya upasuaji wa matiti alipokuwa na umri wa miaka 20 na anajutia kufanya hivyo wala hatamani bin...
17
Nai: Mimi siwezi kufanya surgery , kuchora tattoo
Video vixen #Nai amewataka wanawake wanaojiongezea ‘shepu’ na kubadirisha muonekano wao, wajikubali na jinsi walivyo umbwa. Kupitia mahujiano yake na moja ya chomb...
15
Afanyiwa surgery mara 43 ili afanane na Barbie Dolls
Haya sasa kumekucha na mambo ya upasuaji (surgery) imefikia watu wanataka kuwa kama midol balaa jingine limetokea huko nchini Iraq mtangazaji na mwigizaji maarufu Dalia Naeem ...
02
Mpenzi wa DC Young Fly amefariki kwa upasuaji
Baby mama wa msanii na mtangazaji maarufu duniani DC Young Fly, Jacky Oh mwenye umri wa miaka 32 amefariki dunia baada ya kufanyiwa upasuaji wa kurekebisha umbo lake (Surgery)...
29
Marekani, Mexico zaonya kuhusu mlipuko wa fangasi
Nchi ya Marekani na Mexico zimelitaka shirika la Afya Duniani (WHO) kutangaza dharura ya afya ya umma kutokana na mlipuko wa fangasi ya uti wa mgongo unaohusishwa na shughuli ...
04
Priyanka aelezea livyopata changamoto katika upasuaji ( surgery)
Ebanaeee!! haya mambo ya upasuaji kwadhumuni la kubadilisha muonekano itawatoa watu roho sasa, bhana muigizaji wa filamu kutoka bollywood nchini India Priyanka Chopra amefungu...
06
Mobetto: Nitafanya surgery ya kuongeza mdomo
Weeeeeeh! Huku wengine wakiwa wanaenda kuondoa makalio na lips za bandia walizoweka lakini kwa Mrembo Hamisa Mobeto ameweka wazi mpango wake wa kufanya upasuaji "Sur...
31
Baba Levo kufanya Surgery ya Pua
Moja kati ya stori ambayo iko mitandaoni ni kuhusiana na Msanii Baba Levo kuweka wazi kuwa yuko tayari kwenda Uturuki kwa ajili ya kufanya Surgery. Baba Levo ameyasema hayo wa...
17
Malkia Karen kufanya surgery ya tumbo
Aisee za chini chini kabisa huenda msanii Malkia Karen akaenda kufanya 'Surgery' kama baadhi ya mastaa wengine walivyofanya ili kupunguza tumbo kwenye mwili wake. Malkia Karen...
08
Kilichomkuta Muna Love kinasikitisha
Moja ya story inayoendelea kutrend katika mitandao ya kijamii ni ya mwanadada Muna Love ambaye hivi karibuni alifanya Surgery ya kutengeneza shape katika mwili wake. Hata hivy...
05
Gigy Money: wanaofanya surgery hawajiamini
Msanii wa bongo fleva Gigy Money amefunguka na kusema kuwa watu wanaokwenda nje na kufanya surgery ni moja ya tatizo la kutjiamini na jinsi Mungu alivyokuumba. Gigy ametoa kau...

Latest Post