Aanguka gafra akijaribu kuvunja rekodi ya Guinness

Aanguka gafra akijaribu kuvunja rekodi ya Guinness

Joyce Ijeoma, mfanya massage maarufu Nigeria alianguka ghafla katikati ya jaribio lake la kutaka kuvunja rekodi ya Dunia ya Guinness.

Mtaalamu huyo wa Massage alitangaza nia yake ya kujaribu kuweka rekodi ya kutoa huduma hiyo kwa kutumia muda mrefu zaidi ila haikuwezekana baada ya kuanguka alipofikisha saa 50 katika saa 72 alizokuwa amepanga kuzifikia.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, aliandika: “Mwaliko maalum kwenu nyote ninapojaribu kuweka rekodi mpya ya masaji marefu zaidi kwa watu mbalimbali, njoo na familia marafiki na hata maadui ili muweze kuja kunisupport” aliandika Joyce

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags