Nyota wa muziki nchini Diamond ameeleza namna anavyotumia muziki wake kupenya kimataifa huku akifunguka kuachia albamu mpya itakayotoka Septemba, iliyosheheni kolabo mbalimbal...
Baada ya jopo la majaji kutoa uamuzi usiokamilika na kuifanya mahakama kuwarudisha tena kujadili kuhusu kesi ya rapa Sean Diddy Combs, hatimaye uamuzi wa kesi hiyo umekamilika...
Mwanamuziki kutoka Marekani Kanye West ambaye kwa sasa anajitambulisha kama ‘Ye Ye’, amezuiliwa rasmi kuingia nchini Australia baada ya serikali kufuta visa yake k...
Majaji ambao wanasimamia maamuzi kwenye kesi ya rapa Sean “Diddy” Combs wameripotiwa kufikia uwamuzi kwenye baadhi ya kesi huku kesi ya kufanya uhalifu wa kupanga ...
Inaelezwa kuwa Mfalme wa muziki wa Pop Michael Jackson, alikuwa si tu mtu aliyegusa mioyo ya watu kupitia muziki wake bali alimpenda Mungu wakati wote.Kabla ya kifo chake Juni...
Wakati wewe ukilalamika watu kutokupigia simu kwa siku mbili au moja na kujiita mpweke kwa upande wa Joyce Carol Vincent, raia wa Uingereza mwenye miaka 38, anatajwa kuwa ndio...
Misimu 16 ilimtosha Sergio Ramos (39), kuitumikia Real Madrid akiwa beki wa kati. Ndoto nyingi kama mchezaji amezitimiza hapa, Santiago Bernabeu ilimpa kila kitu akishinda mat...
Peter Elias, MwananchiDar es Salaam. Je, umewahi kusikia siku ya muziki wa reggae duniani? Basi, siku hiyo ipo, ni leo. Siku hii huadhimishwa Julai Mosi ya kila mwaka ambapo u...
Kesi ya madai inayomkabili mwanamuziki kutoka Marekani, Chris Brown ya kumpiga na chupa mtayarishaji wa muziki Abe Diaw tukio lililotokea jijini London kwenye moja ya klabu ya...
Majaji wameanza majadiliano rasmi katika kesi inayomkabili rapa maarufu wa Marekani, Sean “Diddy” Combs, ambaye anakabiliwa na mashitaka ya usafirishaji wa binadam...
Hali ya mwanamuziki wa Singeli Mussa Ramadhan maarufu ‘Dj Mushizo’ inaendelea kuimarika ikiwa ni takribani wiki tatu tangu apate ajali ya moto na kufikishwa katika...
Waliosema aisifiaye mvua imemnyeshea, wala hakukosea baada ya nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini aliyeibuliwa na Kituo cha Mkubwa na Wanae kisha kutamba na Yamoto Ban...
Mwigizaji na mtayarishaji wa filamu nchini Marekani, Vin Diesel amethibitisha kuwa Uhusika wa marehemu Paul Walker, anayejulikana kwa jina la Brian O’Conner katika mfulu...