Mwanamke mmoja mkoani Kigoma ambae ambaye jina hakuweza kufahamika, aliekuwa akitokea Geita mjini akielekea Kasuru amelazimika kukatisha safari yake mara baada ya kupata ...
Taarifa tulizonazo kwa sasa kuhusiana na uchaguzi mkuu kwenye klabu ya simba ni hizi hapa ambapo Murtaza Mangungu ameshinda katika Uchaguzi huo kwa kupata kura 1,311 akimshin...
Muimbaji na muigizaji maarufu nchini Marekani, Marc Antony amefunga ndoa na mwanamitindo Nadia Ferreira, ambaye aliiwakilisha nchi ya Paraguay kwenye Miss Universe ya mwa...
Mwanamke mmoja nchini Uganda aliyefahamika kwa jina la Fortunate Kyarikunda ambaye aliuumiza moyo wa mchumba wake Richard Timwine ameamrishwa na mahakama kulipia hasara za kif...
Mambo, niaje wadau wa michezo na burudani? Wiki hii bwana nimekusogezea mchongo huu hapa ambapo nakukutanisha na mtoto mdogo sana ambaye ana kipaji cha sanaa ya uchoraji.
Mtot...
Mambo vipi msomaji wa jarida lako pendwa la Mwananchi Scoop? Leo makala yetu inazungumzia saratani ya shingo ya kizazi ikiwa ni mwezi Januari, mwezi ambao shirika la afya duni...
Masuala kadhaa yanaweza kusababisha migogoro ya mahali pa kazi, ikiwa ni pamoja na migongano ya kibinafsi, mapambano ya mamlaka, mizozo juu ya rasilimali na sera za kampuni zi...
Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua ametoa amri kwa viongozi wa serikali za mitaa nchini humo kutekeleza agizo la kuwa na sehemu ya starehe (bar) moja kwa kila mji.
Rigathi ...
Uwiiiiiiiih! Unajua kuachwa wewe sio pouwa kabisa, I hope mko good watu wangu wa nguvu, leo nimewaletea mada najua wengi mtakuwa nayo attention coz mshapigwa na vitu vizito ka...
Hatua hiyo imetangazwa Siku moja baada ya Ufaransa kusema itaondoa Majeshi yake Nchini humo Machi 2023 Kumekuwa na uhusiano duni wa Kidiplomasia baina ya Mataifa hayo katika ...
Mambo vipi ni matumaini yangu mko good kabisa, sasa leo kwenye biashara tumekusogezea kitu konki kabisa. Weeeeh! Kuna baadhi ya watu wanalinifata niwaeleze kuhusiana na biasha...
Ebwanaa mambo niaje? Karibu sana kwenye ulimwengu wa fashion mdau wangu, sehemu yetu pendwa kabisa ya kujidai na kuhakikisha tunaweka sawa mionekano yetu mbele ya kadamnasi bw...
"Masters of Sex," stars Michael Sheen and Lizzy Caplan as the real-life pioneers of the science of human sexuality, William Masters and Virginia Johnson.
The series chr...