Fei Toto: Pesa mlizo changa kwenda CAS zitaenda kwa watoto yatima

Fei Toto: Pesa mlizo changa kwenda CAS zitaenda kwa watoto yatima

Baada ya kusaini mkataba wa kuitumia Azam FC, Feisal Salum amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumaliza sakata lake la kuvunja mkataba na klabu ya Yanga.

Katika hatua za mwisho Feisal aliomba kuchangiwa fedha kwenda Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) kwa ajili ya suala la kimkataba na fedha hizo zilifikia Sh9 milioni.

“Pesa sijui nani alitoa na nani ambaye hajatoa, kwahiyo mimi ambacho nitakifanya nitapeleka kwa watoto yatima, msikitini na nyingine kanisani, siwezi kurudisha nitapeleka kwa watu wenye uhitaji” amesema Feisal

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags