19
Adele atuhumiwa kuiba wimbo
Rio de Janeiro jaji kutokea nchini Brazil, ameamuru kufutwa kwa wimbo wa 'Million Years Ago' wa mwimbaji wa Uingereza Adele kutokana na madai ya wizi wa kazi hiyo kutoka kwa m...
06
Cassper Nyovest amkingia Tyla kifua
Masoud Kofii Mkali wa muziki kutokea Afrika Kusini Refiloe Maele 'Cassper Nyovest' ameonesha kutopendezwa na maamuzi yaliofanywa na kamati ya ugawaji wa tuzo za South Afrikcan...
02
Hii hapa mikoba sahihi ya kwendea kazini
Na Glorian Sulle Katika dunia ya mambo ya kisasa, mikoba inachukua nafasi muhimu kama kipande cha kifaa au urembo unaongeza ufanisi na urembo. Swala hili, naongea na wananume ...
20
Kinachoendelea kwa mastaa waliokuwa karibu na Diddy
Ikiwa zimepita siku nne tangu mkali wa Hip Hop kutoka Marekani Sean “Diddy” Combs, kutokuwepo uraiani, baadhi ya mastaa wameibuka katika mitandao ya kijamii wakida...
20
Wakili wa Serikali afichua mawasiliano ya Diddy na wanaomtuhumu
Ni siku nyingine tena madhila yakiwa yanaendelea kumuandama nguli wa muziki wa Hip-Hop duniani Sean ‘ Diddy’ Combs, ambapo upande wa mashtaka jana Septemba 19 umef...
17
Diddy akalia kuti kavu, polisi wamdaka
Mkali wa Hip Hop kutoka Marekani Diddy ameripotiwa kukamatwa na polisi New York kufuatia tuhuma za kujihusisha na unyanyasaji wa ngono na biashara za madawa ya kulevya.Kwa muj...
09
Yung Miami aegemea upande wa Diddy
Rapa Yung Miami ambaye pia ni mpenzi wa zamani wa Diddy amedai kuwa wakati yupo na Combs hakuwahi kufanyiwa ukatili wowote.Yung ameyasema hayo baada ya kuwa na mijadala mingi ...
29
Miami Beach yafuta Sean Diddy Combs Day
Uongozi wa Miami Beach umeondoa siku maalumu ya ‘rapa’ Diddy ambayo ilizinduliwa kwa mara ya kwanza Oktoba 13, 2016, huku sababu ikitajwa ni kufuatia na video ya C...
18
Morgan Freeman akerwa na tamasha la ‘Black history month’
Mwigizaji mkongwe wa Marekani Morgan Freeman amelikosoa tena tamasha la ‘Black History Month’ huku akidai kuwa analich...
08
Chuo chabatilisha shahada ya Diddy
Chuo Kikuu cha Howard kilichopo Washington, D.C siku ya jana Ijumaa Juni 7, 2024 kilitangaza kuwa bodi yake ya nidhamu imebatilisha shahada ya heshima aliyopewa mkali wa Hip h...
07
Fahamu tamasha la kupigana makonde ili kumaliza migogoro
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni, hivi ndivyo unaweza kusema kutokana na njia wanayotumia jamii ya Santo Tomás kutoa hasira zao na kutatua migogoro.Jamii ya San...
29
Mtoto wa miaka 2 awashangaza majaji shindano la AGT
Tazama mtoto wa miaka 2 aitwaye #Devan akionesha ufundi wake kwenye somo la hisabati katika shindano ya kusaka vipaji la America's Got Talent linaloendelea nchini&nb...
27
Miwani zenye saini ya Diddy zasitishwa kuuzwa
Kampuni ya America's Best Contacts & Eyeglasses imeripotiwa kusitisha kuuza fremu za miwani zenye saini ya Diddy kutokana na kuhusishwa kwenye kesi kadhaa za unyanyasaji w...
24
Diddy aendelea kuelemewa na mizigo ya kesi
Baada ya mwanamuziki na dansa kutoka Marekani Cassie, kuweka wazi siku ya Jana Alhamis Mei 23, 2024 kuwa yupo tayari kuwashika mkono wanawake wote ambao wamefanyiwa ukatili, n...

Latest Post