Grammy yatangaza tuzo mpya ya muziki wa Kiafrika

Grammy yatangaza tuzo mpya ya muziki wa Kiafrika

Tuzo kuu za tasnia ya muziki nchini Marekani sasa zitajumuisha kitengo kipya kwa wasanii wa Kiafrika pekee, kuonyesha kimataifa mitindo ya watu wa nyumbani kama vile afrobeats na amapiano.

Kupitia ukurasa wao rasmi wa twitter shirika hilo liliandika kuwa “Utendaji bora wa muziki wa kiafrika kama kitengo kipya kinavyojulikana”

Aidha kitengo hicho kitatambulishwa katika sherehe za mwaka ujao pamoja na vipengele vingine viwili vipya - Albamu Bora ya Mbadala ya Jazz na Rekodi Bora ya Pop.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post