Mtandao wa #Spotify umetangaza wimbo wa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Davido ‘Champion Sound’ aliyomshirikisha msanii kutoka Afrika Kusini #Focali...
Akiwa katika mahojiano na vyombo vya habari nchini mwanamuziki #Billnass ameeleza kuwa yeye hawashawishi wala kushauri watu kuendelea kufanya muziki wa Amapiano na hatamani wa...
Mwanamuziki wa Hip-hop nchini Stamina ameweka wazi ujio wa ngoma mpya ambayo ameshirikishwa na mkali wa Amapiano Chino huku akileza kuwa kwa sasa Chino inabidi abadilishe vibe...
Nyota wa muziki nchini #DiamondPlatumz katika Instastor yake ameweka ujumbe uliobebwa na video ya watu wa #Madrid wakicheza wimbo wake wa Amapiano ‘Shu’.Diamond kw...
Wakati wa uzinduzi wa video ya wimbo wa 'Maokoto' wa msanii Billnass, ameeleza kuwa hajaacha muziki wa hip-hop kuna mambo mengi mapya yanakuja amewataka mashabiki wake kukaa t...
Baada ya kutangaza vita na kushikilia msimamo wake wa kuondoa aina ya muziki wa Amapiano ambao umekuwa gumzo Tanzania, msanii wa #BongoFleva @Shetta ameibuka tena akiweka msis...
Wakati wasanii wengi wakizidi kujikita katika aina ya muziki wa amapiano lakini kwa upande wa masanii mkongwe #MbdoggMaster yeye yuko tofauti na muziki huo.
Akizungumza na moj...
Baada ya mkali wa sauti #Alikiba kutoa ngoma ya Amapiano inayoenda kwa jina ka #Sumu aliyo mshirikisha #Marioo, Chawa wa Taifa Baba Levo, ameonekana kuvutiwa na ngoma hiyo na ...
Msanii wa kizazi kipya #ChinoKidd wakumuita Chino Wana Man ameweka wazi hisia zake kwa kujivunia kwa kile anacho kifanya kwenda mbali zaidi tofauti na alivyo fikiria hapo awal...
Tuzo kuu za tasnia ya muziki nchini Marekani sasa zitajumuisha kitengo kipya kwa wasanii wa Kiafrika pekee, kuonyesha kimataifa mitindo ya watu wa nyumbani kama vile afrobeats...
Ebwana eeh! Msanii AY Tanzania 'Mzee wa Commercial' ameuliza kuhusu biashara ya muziki wa Amapiano kwa wasanii wa Tanzania nchini South Africa kama wao wanavyokuja ...
Moja ya story ambazo zinaendelea kuleta gumzo katika mitandao ya kijamii ni hii ya mchekeshaji kutokea pande za Kenya, Erick Omondi ambaye amefunguka na kusema Amapiano imeua ...