Wanaharakati wa upinzani wafunguliwa mashtaka, Zimbabwe

Wanaharakati wa upinzani wafunguliwa mashtaka, Zimbabwe

Wanaharakati 39 wa upinzani wanaoshutumiwa kwa kuzua ghasia za kisiasa nchini Zimbabwe wamefunguliwa mashtaka kuhusiana na madai ya kuharibu ofisi ya chama tawala (ZANU-PF) siku ya jana jumatatu.

Waendesha mashtaka wamesema kundi hilo lilishambulia ofisi ya chama tawala cha (ZANU-PF), katika eneo la Nyatsime, kusini mwa mji mkuu, wiki iliyopita.

Kundi hilo liliharibu nyumba kadhaa na pia kuwashambulia watu wa jamii ya Nyatsime na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali na kusababisha majeraha makubwa kwao, waendesha mashtaka walisema.

Aidha tukio hilo limekuja wakati makundi ya kutetea haki za binadamu na vyama vya upinzani nchini humo






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags