Mayele na Ntibazonkiza wote waondoka na kiatu

Mayele na Ntibazonkiza wote waondoka na kiatu

Wachezaji Saido Ntibazonkiza wa Klabu ya Simba na Fiston Mayele wa Klabu ya Yanga wametwaa Tuzo ya mfungaji bora msimu huu wa 2022/23 katika Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania (TFF), wote wakiwa wamemaliza msimu na mabao 17.

Ukiachilia mbali na tuzo hiyo kwa upande wa Fiston Mayele amechukua pia Tuzo ya mchezaji bora (MVP) wa msimu, Goli bora na ameingia kwenye kikosi cha msimu wa 2022/23.

Huku Godfather Ntibazonkiza ameondoka na Kiungo bora wa Ligi, Fair Play pamoja na kuingia kwenye kikosi cha msimu wa 2022/23.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags