Ruto awataka wabunge watakaopinga muswaada

Ruto awataka wabunge watakaopinga muswaada

Rais wa kenya William Ruto amesema kura ya wazi itafanya awatambue viongozi watakaopinga mpango kuwa maadui wa maendeleo na hawana nia ya kuondoa tatizo la ajira kwa vijana wanaomaliza vyuo bila kupata kazi.

Kauli hiyo ilitolewa saa kadhaa tangu naibu Rais Rigathi Gachagua kuwaonya wabunge watakaopinga muswada huo kuwa hawatajengewa barabara kwenye majimbo yao.

Sambamba na muswada wa sheria ya fedha 2023 unapendekeza kuongezeka kwa tozo kwenye vyanzo mbalimbali ikiwemo wafanyakazi kukatwa tozo ya 3% kwenye vipato vyao, huku watengeneza maudhui mtandaoni wakitarajia kukatwa 15% ili kuchangia maendeleo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags