Korea Kaskazini yazindua setelaiti

Korea Kaskazini yazindua setelaiti

Nchi ya Korea Kaskazini imezindua kile ilichokiita setelaiti ya angani kuelekea kusini kwa majira ya nchi hiyo, hatua hiyo imesababisha kutolewa kwa tahadhari ya dharura, na onyo la watu kuondoka katika sehemu za Korea Kusini na Japan.

Imesema itazindua seteleiti yake ya kijeshi ya kwanza kati ya Mei 31 na Juni 11 kuongeza uangalizi wa shughuli za Marekani.

Katika taarifa zilizotolewa na serikali za kimataifa, nchi hiyo imesema kuzinduliwa huko kutatumia roketi kwenda kusini, ambapo kutakuwa na hatua mbalimbali zitakazo zalisha mabaki na kudondoka katika Yellow Sea, na pia bahari ya Pacific.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags