06
Bongo Movie yapata mtetezi mpya
Katika miaka ya hivi karibuni, tasnia ya filamu nchini Tanzania, maarufu kama Bongo Movies, imeonekana kukua kwa kiasi fulani. Hata hivyo, licha ya ukuaji huo bado kunaonekana...
05
Niliyoyaona kwenye tuzo za filamu Zanzibar ZIFF hayafurahishi
Kwa niliyoyaona siku nne za tamasha la 27 la filamu za kimataifa Zanzibar 'ZIFF' nadhani yanaweza kuelezeka kwa msemo wa "ng'ombe unaweza kumpeleka mtoni lakini hauwezi kumlaz...
02
Bosi ZIFF ataka wasanii kutunga filamu zinanzohusu jamii
Mwenyekiti wa Tamasha la Filamu la Kimataifa (ZIFF), Chande Omar amesema wanatarajia kuwasukuma wasanii kucheza na kutunga filamu zinazohusu changamoto za jamii na siyo mapenz...
02
Leo siku ya bia duniani, mtaje rafiki yako ambaye unajua hakosi hii
Wanywaji wa bia nchini Tanzania, leo Ijumaa Agosti 2, 2024 wanaungana na wenzao duniani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Bia inayo...
13
Mfumo unamgharimu kuwika kimataifa
Wameingia kwenye mfumo!. Ni kauli aliyoitoa staa wa Bongofleva, Diamond Platnumz baada ya wimbo wake ‘Komasava’ kubamba sehemu nyingi duniani ikiwemo Nigeria ambap...
10
Shakira kutumbuiza fainali ya Copa America 2024
Mwanamuziki mkongwe wa Colombia, Shakira amethibitishwa kutumbuiza kwenye fainali ya Copa America 2024, siku ya Jumapili inayotarajiwa kuhudhuriwa na mashabiki 54,000. Kwa muj...
17
Mourinho amuwinda beki wa Man United
Kocha wa klabu ya Fenerbahce, Jose Mourinho ameripotiwa kuiwinda huduma ya beki wa Manchester United, Victor Lindelof ili kuimarisha kikosi chake msimu wa 2024/25. Tovuti ya S...
23
Frida aweka historia kwenye kongamano la kimataifa la vijana na hip-hop
Rapa na mtangazaji, Frida Amani ameweka historia ya kuwa msanii wa kwanza kushiriki katika mkutano maarufu wa kimataifa wa NEXT, u...
07
Japan yazindua intaneti ya 6G
Makampuni ya mawasiliano ya simu nchini Japan, DOCOMO, NTT Corporation, NEC Corporation, na Fujitsu yamezindua kifaa cha kwanza cha 6G dunaini ambacho hutoa kasi ya utumiaji d...
19
Davido kuwapeleka vijana kimataifa
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, #Davido amezindua lebo yake iitwayo ‘Nine+ Records’ akishirikiana na kampuni ya usambazaji wa muziki ya #UnitedMasters. Davido a...
28
Saudi Arabia yatangaza kushiriki miss universe 2024 kwa mara ya kwanza
Kwa mara ya kwanza katika historia Saudi Arabia imeripotiwa kushiriki katika shindano la Miss Universe 2024, ikiwakilishwa na Miss...
19
Asake apiga mkwanja mrefu Dubai
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Asake, anadaiwa kulipwa Euro 500K ambazo ni zaidi ya tsh 1.37 bilioni kwa ajili ya kutumbuiza kwenye onesho la la muziki ‘Untold&rsquo...
29
Man City ndiyo klabu bora duniani
‘Klabu’ ya #ManchesterCity sasa inaongoza katika orodha ya ‘vilabu’ bora duniani, ikichukua nafasi ya kwanza kutoka katika ‘klabu’ ya #Real...
14
Beki wa Chelsea bado sana uwanjani
Beki wa ‘klabu’ ya #Chelsea, #ReeceJames ameendelea kupitia wakati mgumu kwani anatarajia kukaa nje ya uwanja hadi Februari mwakani baada ya kuumia tena. Beki huyo...

Latest Post