Kama hukuwahi kuona hii, fahamu kupitia Mwananchi Scoop wakazi wa kijiji cha Shirakawa-go, Wilaya ya Gifu nchini Japan wametengeneza mfumo wa kipekee wa kuzuia moto kuunguza n...
Serikali ya Tokyo nchini Japan inampango wa kuweka ratiba mpya ya kazi ifikapo mwaka 2025 ambapo wafanyakazi wote wa serikalini wataingia kazini siku nne tu ndani ya wiki huku...
Wanasayansi kutoka Japan wako mbioni kuzindua roboti lenye ngozi hai ambalo litakuwa na uwezo wa kucheka pamoja na kutabasamu kama binadamu.Ubunifu huo ulioongozwa na watafiti...
Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na Mwigizaji wa Marekani Jason Momoa na Adria Arjona wanatoka kimapenzi, hatimaye Momoa amethibitisha tetesi hizo.
Momoa amethibitisha kutoka ...
Makampuni ya mawasiliano ya simu nchini Japan, DOCOMO, NTT Corporation, NEC Corporation, na Fujitsu yamezindua kifaa cha kwanza cha 6G dunaini ambacho hutoa kasi ya utumiaji d...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Beyonce aliandaa tukio maalumu la kusaini autograph ambapo alikutana na mashabiki wake 150 katika duka la ‘Tower Records’ nchini...
Kampuni ya Nissan imetengeneza viti maalum vya kutumika kwenye ofisi zao, ambavyo vinafanya kazi kwa uwezo wa teknolojia.
Viti hivyo vinauwezo wa kijipanga na kujisogeza pembe...
Siku zote waswahili wanasema ukistajaabu ya Musa utayaona ya Firauni, msemo huo ulijionesha kwenye historia ya ajali ya kuzama kwa meli ya Titanic, iliyotokea Aprili 14, 1912 ...
Watu wengi nchini Japani wameanza kuchukua mafunzo ya jinsi ya kutabasamu upya baada yakuvaa mask (Barakoa) kwa muda mrefu.
Raia hao wamekua wakizoea kuvaa mask kwa muda mrefu...
Nchi ya Korea Kaskazini imezindua kile ilichokiita setelaiti ya angani kuelekea kusini kwa majira ya nchi hiyo, hatua hiyo imesababisha kutolewa kwa tahadhari ya dharura, na o...