Muigizaji wa miaka 82 ampa binti ujauzito

Muigizaji wa miaka 82 ampa binti ujauzito

Ebanaee!! ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni, Imeoneka siku hizi wadada wanavutiwa kimahusiano na wazee hiyo imetokea kwa muigizaji mkongwe kutoka nchini Marekani  mzee Al Pacino mwenye umri wa miaka 82.

Kuwa na mpenzi binti mbichi kabisa mwenye miaka 29 aliefahamika kwa jina Noor Alfallah.   

Huku wawili hao wakitarajia kupata mtoto hivi karibuni, kwa mujibu wa mmoja ya chombo cha habari nchini humo kinaeleza bhana mrembo huyo kwasasa ujauzito wake una miezi nane.

Hii inawezekana kweli jamani au mzee kapigwa hapo hahahahaha!! Embu na wewe dondosha comment yako tuone hawa mabinti wanaopalamia wazee wanashida gani.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post