Paul Walker apata mrithi wa jina lake

Paul Walker apata mrithi wa jina lake

Kaka wa Marehemu Paul Walker, Cody Walker yeye na mke wake wameamua kumuenzi Staa huyo wa Filamu aliefariki katika ajali ya Gari November 30, 2013, huko Valencia, Santa Clarita, California, nchini Marekani kwa kumpa jina mtoto wao wa tatu.

Cody aliripotiwa kuthibitisha kuwa mtoto wake wa tatu wa kiume ataitwa jina la kaka yake ambalo ni Paul Walker  kama kuendelea kumuenzi Staa huyo.

Woooow! Haya wanangu sana je unazani mrithi wa jina atakuja kuyaenzi yale aliokuwa anayaishi na kuyafanya mwamba huyo alietamba katika movie ya Fast & Furious.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post