Waandishi wa habari wawili wafukuzwa, Burkina Faso

Waandishi wa habari wawili wafukuzwa, Burkina Faso

Waandishi wawili wa habari wanaoripoti katika magazeti ya Ufaransa wamefukuzwa kufuatiwa na mwenendo wa kuharibika kwa uhusiano kati ya Serikali za mataifa hayo mawili.

Waandishi hao ambao wamefaahamika kwa majina ya Sophie Douce na Agnes Faivre, wawili hao waliwasili Ufaransa baada ya kupewa saa 24 za kuondoka nchini Burkina Faso. 

Aidha chanzo cha kufukuzwa ni kuchapisha taarifa ya uchunguzi iliyoambatana na video iliyoonesha watoto wakifanyiwa ukatili katika kambi za kijeshi nchini humo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags