31
Watu 11 wafariki katika tamasha la Fally Ipupa
Watu 11 wamefariki Jumamosi wakiwemo maafisa wawili wa polisi katika mkanyagano kwenye uwanja wa michezo uliokuwa umefurika watu waliokwenda kuhudhuria tamasha la mwanamziki F...
31
Lula Da Silva ashinda tena urais Brazil
Rais wa zamani wa Brazil Luis Inacio Lula da Silva ameshinda duru ya pili ya uchaguzi baada ya kumuangusha mpinzani wake Jair Bolsonaro na kutoa mwito wa amani na umoja baada ...
30
Kansa ya matiti
Katika kuelekea kilele cha kutoa elimu Kwa jamii juu ya ugonjwa wa kansa ya matiti tarehe 31 oktoba, jarida lako pendwa la Mwananchi scoop linakuletea nakala likifafanua Kwa k...
30
Mambo ya kufanya ili kupunguza migogoro kazini
Habari kijana mwenzangu karibu kwenye Makala za kazi, ujuzi na maarifa bila shaka umekua mfuatiliaji mzuri wa mada mbalimbali zinazohusu masuala haya. Wiki hii bwana kwenye ki...
29
Jinsi ya kuanzisha biashara ya vipodozi
Hellow! Watu wangu wa nguvu kama kawaida yetu yani sisi hatunaga mba mba mba, leo katika biashara tunakusogezea mada konki ambayo itaweza kukupa elimu ya kile unachotaka kukif...
28
Faida na hasara za kusoma kozi mtandaoni ukiwa chuoni
Oooooh! Amkeni amkeni wanangu wa mavyuoni basi bwana kuna wale wavivu kuamka asubuhi kwenda kuwahi lecture huwa wengi wetu tunakimbilia kusoma katika mitandao, sasa tumekusoge...
29
Ufahamu mtindo wa ‘Iro na Buba’ unavyobamba kwa wanawake
Eiwaaaah!! Mambo vipi? wapenzi wa fashion na wafuatiliaji wa magazine ya Mwananchi scoop kama ilivyo kawaida yetu hatujawahi kukua...
28
Rais Xi Jinping atarajiwa kufanya ziara Saudi Arabia
Waziri wa mambo ya nje wa Saudi Arabia Mwanamfalme Faisal bin Farhan amekiambia kituo cha televisheni cha Al-Arabia kuwa rais wa China Xi Jinping anatarajiwa kufanya ziara kat...
28
Bilionea Elon Musk akamilisha ununuzi wa Twitter kwa bilioni 44
Mfanyabiashara bilionea wa Elon Musk anaripotiwa kuchukua udhibiti wa mtandao wa Twitter. Awali kampuni yenye umuliki wa mtandao huo ilikataa kiwango cha dola bilioni 44 kilic...
28
virusi vya ebola vyazidi kusambaa kampala
Serikali ya Uganda ipo katika presha kubwa kutokana na kusambaa kwa Virusi vya  Ebola baada ya Wanafunzi 6 kukutwa na Maambukizi Jijini humo. Idadi hiyo inafanya ju...
28
Urusi kupiga marufuku mapenzi ya jinsia moja
Urusi inatarajia kupitisha muswada wa marufuku dhidi ya kueneza kile kinachoitwa "propaganda za wapenzi wa jinsia moja" kwa watu wote. Sheria itaruhusu taarifa yoyote kwenye ...
27
Mwili wa mwanamke aleyetoweka toka jumapili wakutwa tumboni mwa nyoka, Indonesia
Mwanamke mmoja katika jimbo la Jambi nchini Indonesia ameuawa na kumezwa mzima na chatu, kulingana na ripoti za eneo hilo - lakini...
27
Papa: hadi Watawa na Mapadre wanaangalia video za ngono
Papa Francis amewaonya makasisi na watawa kuhusu hatari ya kutazama video ama picha za ngono (ponografia) mtandaoni akisema "inadhoofisha moyo wa kipadre". Papa, mwenye umri w...
27
Watu 28 wafariki katika kimbunga, Bangladesh
Idadi ya watu waliokufa kutokana na Kimbunga Sitrang nchini Bangladesh imefikia 28 huku mamilioni ya wengine wakisalia bila umeme. Idadi hii imeongezeka baada wafanyakazi wa u...

Latest Post