Ghannouchi ahukumiwa jela kwa kosa la ugaidi

Ghannouchi ahukumiwa jela kwa kosa la ugaidi

 Aliekuwa spika wa bunge wa zamani Rachel Ghannouchi na mmoja wa wapinzani wakuu wa Rais Kais Saied mwenye umri wa miaka 81 amehukumiwa na mahakama moja nchini Tunisia siku Jumatatu.

Amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani kwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi.

Aidha mwezi uliopita alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali, kama sehemu ya kile ambacho shirika la Human Rights Watch lilikitaja wiki iliyopita kama hatua ya kudhibiti chama kikuu cha siasa nchini humo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags