Membe azikwa leo, Lindi

Membe azikwa leo, Lindi

Mwili wa Marehemu Bernard Membe tayari umezikwa katika eneo la makaburi ya familia Rondo katika kijiji cha Chiponda mkoani Lindi leo Mei 17, 2023.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete  wamewaongoza waombolezaji na wakazi wa kijiji cha Rondo mkoani Lindi katika mazishi ya Mwanasiasa huyo Mkongwe ambaye pia aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe .

Marehemu Membe alifariki dunia Mei 12, 2023  wakati akipatiwa Matibabu katika Hospitali ya Kairuki Jijini Dar es Salaam.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags