08
Kobe mzee duniani asheherekea kutimiza miaka 190
Kobe mwenye umri mkubwa zaidi duniani alietambulika kwa jina la Jonathan amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 190. Jonathan anadhaniwa kuzaliwa mwaka 1832 n...
08
Kijana miaka 18 achaguliwa Meya Marekani
Mwanafunzi wa chuo kikuu mwenye umri wa miaka 18 katika jimbo la Arkansas ameripotiwa kuwa meya mwenye umri mdogo kuchaguliwa nchini Marekani. Siku ya Jumanne, alipigiwa kura...
08
Rais wa Peru aondolewa madarakani
Bunge la Peru limemuondoa madarakani Rais Pedro Castillo na nafasi yake kuzibwa na makamo, Dina Boluarte muda mfupi baada ya Castillo kujaribu kulivunja bunge hilo, ikiwa kabl...
08
Kenya yapiga marufuku mabweni kwa wanafunzi wa shule za msingi
Serikali nchini Kenya imepiga marufuku kwa wanafunzi wa ngazi ya chini kwa elimu ya sekondari na itaanza kutumika kuanzia januari 2023 Madarasa yanayohusika na marufuku hiyo ...
07
China yatangaza kulegeza vizuizi vya Covid nchini
Kutoka nchini China leo imetangaza kulegeza vizuizi vya kitaifa vya Covid kufuatia maandamano ya kupinga mkakati huo mkali ambayo yaligeuka kuwa miito ya kutaka uhuru zaidi wa...
07
Makamu wa rais Argentina ahukumiwa kwenda jela miaka 6
Mahakama nchini Argentina imetoa hukumu kwa Cristina Fernandez de Kirchner (69), kutokana na makosa ya rushwa ambapo amedaiwa kutumia vibaya madaraka yake kwa kutoa kandarasi ...
07
Apata upofu baada ya kushora tattoo kwenye nyusi
Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Anaya Peterson mwenye umri wa miaka 32 amepoteza uwezo wake wa kuona baada ya kuchora Tattoo kwenye nyusi.Anaya alishawishika kuchora...
06
Miaka 21 jela kwa kuiba Mbwa
Hii bwana imetokea huko nchini Marekani ambapo Mahakama ya Los Angeles, imemuhukumu James Howard Jackson ( 20) kifungo cha miaka 21 jela kwa kosa la kumjeruhi kwa risasi Ryan ...
06
Poland yataka kulipwa fidia na Ujerumani kutokana na uharibifu uliotokea katika vita ya pili vya dunia
Serikali ya Poland inataka kuongeza shinikizo dhidi ya Ujerumani kuhusu suala la kulipwa fidia ya vita vya pili vya dunia. Kwa muj...
06
Meta yatishia kuondoa maudhui ya habari za marekani kwenye facebook
Hatua hiyo inaweza kufikiwa ikiwa Sheria mpya inayovipa Vyombo vya Habari nguvu ya kudai ada ya matangazo inayopatikana katika Mau...
06
Indonesia, Jela mwaka mmoja kufanya mapenzi nje ya ndoa
Bunge la Indonesia leo Jumanne limeidhinisha sheria mpya ya uhalifu ambayo itafanya kushiriki ngono nje ya ndoa kuadhibiwa kwa mwaka mmoja jela. Sheria hiyo ambayo itatumika ...
05
Kanisa laongoza maandamano dhidi ya waasi wa M23
Kutoka huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maelfu ya wananchi wameshiriki katika Maandamano ya Amani dhidi ya kundi la Waasi wanaopigana Mashariki mwa Nchi hiyo. Hii imekuj...
05
Wawili wafariki wakati wakidaka kumbikumbi, Kigoma
Watu wawili wenye umri kati ya miaka 18 na 20 wamefariki dunia baada ya kugongwa na Bodaboda wakati wakikamata Kumbikumbi katika kichuguu pembezoni mwa barabara katika Kijiji ...
05
Bernard Morrison: Nilijua tuu Feisal atatuokoa
Alooooooooh! Kumbe jana wananchi walikuwa katika hali mbaya hivyo na hamkusema watu niwasiri sana, basi bwana yule mzee wa kuwakera Bernard Morrison(BM 3) ameeleza kuwa alijua...

Latest Post