24
Panya nchini India wala bangi kilo 200
Polisi nchini India wamewalaumu panya kwa kuharibu karibu kilo 200 (lbs 440) za bangi iliyonaswa kutoka kwa wachuuzi na kuhifadhiwa katika vituo vya polisi. "Panya ni wanyama ...
24
Zuchu na Diamond penzi shatashata
Nyieeee unaambiwa usinene ukamara bwana, kumbuka kuweka akiba ya maneno, pia usiseme sana bwana, mambo yameanza kutaradadi kupitia mitandao ya kijamii bwana ambapo kumesambaa ...
24
Wapiganaji 49 wa Al Shabaab wauawa
Serikali ya Somalia imesema wapiganaji 49 wa kundi la Al Shabaab wameuliwa katika operesheni ya kijeshi kwenye eneo la Lower Shabelle kufuatia kampeni inayoendelea kwa miezi k...
24
Mbu wa malaria anawezekana kuwa chanzo cha ugonjwa wa mabusha
Inasemekana kuwa chanzo kikubwa cha magonjwa ya mabusha ni vimelea vya minyoo jamii ya filaria, ambavyo vinaingia kwenye damu na vinaweza kusababisha maji kujikusanya sehemu z...
23
Vikosi vya ulinzi vya ujerumani vyaondolewa nchini mali
Maamuzi hayo yanatarajiwa kutekelezwa kuanzia katikati ya Mwaka 2023 na mchakato utaendelea hadi utakapokamilika Mwaka 2024 Ujerumani ina Wanajeshi 1,000 Nchini Mali, wengi w...
23
Zaidi ya asilimia 70.5 ya watanzania hawapigi mswaki vizuri
Utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya kuhusu Afya ya Kinywa Nchini umeonesha zaidi ya Watu wazima Milioni 47 wameoza Meno na chanzo kikuu ni kutosafisha kinywa ipasavyo(vizuri)...
23
Timothy mtoto wa Rais wa Liberia aipatia goli marekani kombe la dunia 2022
Timothy Weah, mtoto wa Rais wa Liberia George Weah, aliifungia goli Marekani katika mchezo wao wa kwanza wa Kombe la Dunia dhidi y...
23
Leo Sikukuu, Saudia
Ooooooooh! Nyie nyie kombe la dunia mwaka huu limeleta balaa, hakika kuna timu zimejipanga safari hii sio pouwa, basi bwana. Mfalme Salman wa Saudi Arabia ametangaza leo Jumat...
23
Man U watemana na Ronaldo
Club ya Manchester United imetangaza kumalizana na Staa wake Cristiano Ronaldo (37) kwa makubaliano ya pande zote mbili. Man United imemshukuru Ronaldo kwa utumishi wake wa v...
22
Njaa yawatesa wakazi wa Arumeru
Ukosekanaji wa Mvua  baadhi ya maeneo mkoani Arusha yamekumbwa na uhaba wa chakula kutokana na ukame, baadhi ya Wakazi wa Arumeru mkoani humo hasa Wanawake na Watoto wame...
22
Tetemeko la ardhi Indonesia vifo vyafika 160
Maafisa wa huduma za dharura nchini Indonesia wanaendelea kuitafuta miili zaidi ya watu kutoka kwenye vifusi vya nyumba na majengo yaliyoangushwa na tetemeko la ardhi lililosa...
22
Jaji Warioba: tujibu hoja za dkt. Bashiru, kukosoa sio jambo baya
Kauli ya Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, inafuatia majibu ya Watu mbalimbali Mtandaoni wanaodai Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM na Balozi, Dkt. Bashiru hana sifa za kuiko...
21
Ronaldo aitaka real madrid kwa miezi 6
Inadaiwa kuwa Cristiano Ronaldo ameiambia Real Madrid kuwa yupo tayari kujiunga na klabu hiyo katika Dirisha Dogo la Usajili la Januari 2023 Ronaldo (37) ambaye yupo mbioni ku...
21
Tetemeko laua zaidi ya watu 40 Indonesia
Tetemeko la ardhi limepiga kisiwa kikuu cha Java nchini Indonesia na kusababisha zaidi ya watu 40 kupoteza maisha na mamia kujeruhiwa, walisema maafisa wa eneo hilo.Tetemeko h...

Latest Post