Kocha wa makipa wa klabu ya Simba, Muharami Said Sultan amekamatwa na madawa ya kulevya aina ya heroin.Taarifa hizo zimetolewa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na ...
Ebwana moja kati ya taarifa njema kabisaa hususani kwa Watanzania ni hii hapa ambapo tayari ujenzi wa Ikulu ya Chamwino umekamilika.
Ujenzi wa Ikulu ya Tanzania wilayani Chamw...
Mkurugenzi wa Shirika la Precision Air, Patrick Mwanri, amesema mchakato wa malipo utakuwa kati ya familia za waliothirikana ajali ya ndege na utafanyika kwa umakini mkubwa.
&...
Marekani imesema itatoa zawadi ya hadi dola milioni 10 kwa yeyote ambaye atakuwa na taarifa kuhusu viongozi wakuu wa Al-Shabab.
Wizara ya mambo ya nje ...
Hii imetokea huko nchini Thailand ambapo Mwanamke mmoja raia wa nchi hiyo aliyefahamika kwa majina , Phonchanok Srisunaklua anakabiliwa na kifungo cha miaka mitano jela ...
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo amewatembelea majeruhi wa ajali ya basi la Arusha Express lililogongana na lori, katika eneo la Mzakwe, Dodoma. Majeruhi hao wamelazw...
Rais wa Marekani Joe Biden, leo anakutana na Xi Jinping wa China huko Bali, Indonesia kwa ajili ya kujadili mahusiano kati ya nchi hizo mbili zenye uchumi mkubwa zaidi duniani...
Msanii maarufu barani Afrika Burna Boy, ameshinda tuzo ya msanii bora kutoka Afrika. Hii ni katika tuzo zilizofanyika huko Uingereza zinazojulikana kama MTV EMA.Burna Boy amew...
Cristiano Ronaldo ameishutumu Manchester United kuwa imemsaliti na kudai kuwa hana heshima kwa kocha wake, Erik ten Hag kwa kuwa yeye (kocha) hajaonesha heshima kwake (Ronaldo...
Hatua hiyo inafuatia baadhi ya Wabunge kuwasilisha hoja kwa Spika Moses Wetang'ula wakidai baadhi ya Sheria ziko kinyume na Katiba na hazina idhini ya Bunge Hata hivyo Wabung...
Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT) unafanyika kuanzia leo tarehe 14 Novemba hadi 1 Disemba, 2022 katika jumla ya Shule za Sekondari 5,212 na Vituo vya W...
Takriban watu sita wameuawa na wengine 81 kujeruhiwa katika mlipuko katika eneo lenye shughuli nyingi katikati mwa Istanbul, mamlaka ya Uturuki imesema.
Mlipuko huo ulitokea m...