Biden aingia Ukraine kimyakimya

Biden aingia Ukraine kimyakimya

Rais wa Marekani, Joe Biden amewasili Kyiv ikiwa ziara yake ya kwanza nchini Ukraine tangu Urusi ilipoivamia karibu mwaka mmoja uliopita.

Aidha Safari hiyo ya siri ya Biden kwenda Ukraine imefanywa kwa njia ya treni ambapo imekuja wakati alipokuwa akisafiri kwenda nchi jirani ya Poland kukutana na Rais Andrzej Duda.

Hata hivyo ziara ya Kyiv na safari hiyo ilifanywa kisiri kwa sababu ya tahadhari ya kiusalama.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags