Bondia kutoka Uingereza Tyson Fury na bondia wa Ukraine Oleksandr Usyk, siku ya leo Mei 18, 2024 wanatarajia kupanda ulingoni kuoneshana ubabe ambapo watapigana raundi raundi ...
Uwanja wa zamani wa Avanhard wa mpira ambao ulikuwa ukiingiza mashabiki 5,000, uliachwa kutumika baada ya maafa ya Chernobyl 1986 kufuatia utafiti uliofanywa hivi karibuni na ...
Mchezaji wa #Arsenal, #OleksandarZinchenko arudi tena uwanjani baada ya kusumbuliwa na maumivu ya mguu katika sehemu ya kigimbi tangu mwishoni mwa msimu uliopita, lakini ameon...
Mwandishi maarufu wa Ukraine, Victoria Amelina amefariki dunia leo Jumatatu kutokana na majeraha aliyopata kufuatia shambulio la kombora lililotokea Jumanne alipokuwa akipata ...
Mwanamume mmoja aliyetembelea Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Roma alivua nguo na kusimama uchi kwenye madhabahu kuu kupinga vita vya Ukraine, chanzo cha habari cha Vatica...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ameeleza kwamba msimamo wa nchi yake usio fungamana na upande wowote kuwa haufanyi upendeleo nchi ya Russia dhidi ya mataifa mengine na k...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amekanusha kuwa nchi yake haikufanya shambulio linalodaiwa kuwa ni la ndege isiyokuwa na rubani dhidi ya Kremlin, ambapo Urusi inasema lilik...
Ndege ya kivita aina ya Su-34 ilirusha bomu la anga kwa bahati mbaya, baada ya kushambulia mji wa Belgorodi inasemekana haikuwa na lengo la kusababisha maafa hayo.
Tukio hilo ...
Rais kutoka nchini Ukraine, Volodymyr Zelensky amethibitisha kuachiliwa kwa wafungwa wa kivita kama sehemu ya makubaliano kati ya Ukraine na Urusi.
Makubaliano hayo yamefaniki...
Rais wa Marekani, Joe Biden amewasili Kyiv ikiwa ziara yake ya kwanza nchini Ukraine tangu Urusi ilipoivamia karibu mwaka mmoja uliopita. Aidha Safari hiyo ya siri ya Biden k...
Taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB), Salum Awadh, amesema kupanda kwa chakula kunatokana na changamoto mbalimbali ikiwemo upatikanaji h...
Ndugu na jamaa wa Mtanzania Nemes Tarimo aliyefariki nchini Ukraine wamepokea mwili wa kijana huyo leo alfajiri katika uwanja wa ndege, Jijini Dar es salaam.
Kwa mujibu wa fam...
Mwanafunzi wa Zambia Lemekhani Nyirenda, aliyefariki September mwaka jana alipokuwa akipigania vikosi vya Urusi nchini Ukraine, anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatano.
Nyirenda ...